6/recent/ticker-posts

Mchezo wa Ligi Kuu ya PBZ Kati ya JKU na Chipukizi Mchezo Uliyofanyika Uwanja wa Mao Zedong Timu ya JKU Imeshinda Mchezo Huo Kwa Bao 2-0

Beki wa Timu ya Chipukizi  akiokoa mpira huku mshambuliaji wa Timu ya JKU akijaribu kumzuiya wakati wa mchezo wao wa Ligi Kuu ya PBZ Zanzibar 2025/2026, mchezo uliyofanyika Uwanja wa Mao Zedong.Timu ya JKU imeshinda mchezo huo kwa bao 2-0. 




 

Post a Comment

0 Comments