Kipa wa Timu ya Junguni akiokoa moja ya hatari golini kwake, huku mchezaji wa Timu ya KMKM akijaribu kufunga wakati wa mchezo wao wa Ligi Kuu ya PBZ Zanzibar 2025/2026, mchezo uliyofanyika katika uwanja wa Mao Zedong. Timu ya KMKM imeshinda mchezo huo kwa bao 6-1.
UCHIMBAJI WA DHAHABU KIGOSI, STAMICO YAINGIA MKATABA MPYA
-
Serikali kupitia Shirika la Madini la Taifa (STAMICO) imetia saini mkataba
wa uwekezaji katika sekta ya madini kwa ajili ya kuendeleza leseni ya
uchimbaji ...
1 hour ago





0 Comments