6/recent/ticker-posts

Timu ya Kipanga Yaifunga Timu ya Malindi kwa Bao 2-1 Katika Mchezo wa Ligi Kuu ya PBZ Zanzibar 2025/2026 Mchezo Uliyofanyika Uwanja wa Mao Zedong

Golikipa wa Timu ya Kipanga akiokoa moja ya hatari golini kwake wakati wa mchezo wa Ligi Kuu ya PBZ Zanzibar 2025/2026, dhidi ya Timu ya Malindi mchezo uliyofanyika katika Uwanja wa Mao Zedong. katika mchezo huo timu ya Kipanga imeshinda mchezo huo kwa bao 2-1









 

Post a Comment

0 Comments