6/recent/ticker-posts

Mchezo wa Kikapu Ligi Kanda ya Unguja Kati ya Beit El Raas na JKU Mchezo Uliyofanyika Uwanja wa Mao Zedong Timu ya Beit El Raas Imeshinda kwa Vikapu 63-53

Mchezaji wa Timu ya Beit El Raas akiwapita wachezaji wa Timu ya JKU wakati wa mchezo wao wa Ligi Kanda ya Unguja mchezo ya Kikapu uliyofanyika Uwanja wa Mao Zedong.Timu ya Beit El Raas ilimeshinda mchezo huo kwa Vikapu 63-53.










 

Post a Comment

0 Comments