Mchezaji wa Timu ya Zenj Bulls wakiwa na mpira akijaribu kumpita mchezaji wa Timu ya JKU wakati wa mchezo wao wa Ligi Kanda ya Unguja mchezo uliyofanyika Uwanja wa Mao Zedong. Katika mchezo huo Timu ya Zenj Bulls katika kota ya kwaza wameonesha kiwango cha mchezo kizuri dhidi ya wapinzani wao JKU. Timu ya JKU imeshinda mchezo huo kwa vikapu 90-36.











0 Comments