Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Alhajj Hemed Suleiman Abdulla amejumuika na Viongozi wa Serikali, viongozi wa Dini, wanafamilia ndugu jamaa na marafiki katika Swala na dua ya kumuombea Marehemu Abdalla Mwinyi Khamis aliekuwa Mkuu wa Mkoa wa Mjini Magharibi wakiongozwa na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhajj Dkt. Hussein Ali Mwinyi, iliyoswaliwa Masjid Jamii Zinjibar Mazizini Wilaya ya Magharibi "B" Unguja.
Inna liilahi wainna ilaihi raajiun.
Imetolewa na Kitengo cha Habari (OMPR )
.jpg)


0 Comments