Makamu wa
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Balozi Dkt. Emmanuel Nchimbi
akiwasili katika Uwanja wa Ndege wa Bukoba mkoani Kagera leo tarehe 14 Desemba
2025. Makamu wa Rais anatarajiwa kuwa mgeni rasmi katika hafla ya uwekaji jiwe
la msingi la ujenzi wa Kampasi ya Chuo Kikuu cha Dar es Salaam mkoa wa Kagera,
itakayofanyika tarehe 15 Desemba 2025. .jpg)
Wanafunzi 40 Mabalozi wa Utalii Watembelea Ngorongoro na Serengeti
-
Na Pamela Mollel,Babati
Wanafunzi 40 kutoka shule nne zilizopo ndani ya Hifadhi ya Jamii ya
Wanyamapori ya Burunge (Burunge WMA) wilayani Babati, mkoa wa M...
1 hour ago
.jpg)


0 Comments