6/recent/ticker-posts

Mhe. Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan akutana na kuzungumza na Waziri Mkuu wa Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Mwigulu Nchemba Ikulu ndogo Tunguu Zanzibar

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akizungumza na Waziri Mkuu wa Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Mwigulu Lameck Nchemba,  Ikulu ndogo Tunguu,  Zanzibar tarehe 23 Disemba, 2025.

Post a Comment

0 Comments