6/recent/ticker-posts

UWEKAJI WA JIWE LA MSINGI NYUMBA ZA MAKAAZI NA WAPIGANAJI WA CHUO CHA MAFUNZO WAFANYIKA ZANZIBAR

Waziri wa Kilimo ,Umwagiliaji Maliasili na Mifugo Suleiman Masoud Makame Kulia akikunjuwa Kitambaa kuashiria Uwekaji wa Jiwe la Msingi Nyumba za Maafisa na Wapiganaji wa Chuo Cha Mafunzo Hanyegwa Mchana Wilaya ya Kati Unguja .Ikiwa ni Shamra Shamra za Maadhimisho ya Miaka 62 ya Mapinduzi ya Zanzibar.

Muonekano wa Baadhi ya Nyumba za Maafisa na Wapiganaji wa Chuo Cha Mafunzo zilizowekewa  Jiwe la Msingi na Waziri  wa Kilimo  ,Umwagiliaji Maliasili na Mifugo Suleiman Masoud Makame Hanyegwamchana Wilaya ya Kati Unguja .Ikiwa ni Shamra Shamra za Maadhimisho ya Miaka 62 ya Mapinduzi ya Zanzibar.
Waziri wa Kilimo  ,Umwagiliaji Maliasili na Mifugo Suleiman Masoud Makame akitoa hotuba ya Uwekaji wa Jiwe la Msingi Nyumba za  Maafisa na Wapiganaji wa Chuo Cha Mafunzo Hanyegwa  Mchana Wilaya ya Kati Unguja .Ikiwa ni Shamra Shamra za Maadhimisho ya Miaka 62 ya Mapinduzi ya Zanzibar.
Waziri wa Kilimo  ,Umwagiliaji Maliasili na Mifugo Suleiman Masoud Makame akpatiwa Maelezo na Kamishna wa Chuo Cha Mafunzo Khamis Bakari Khamis wakati akitembelea Nyumba za Maafisa na Wapiganaji wa Chuo Cha Mafunzo baada ya kuweka Jiwe la Msingi Hanyegwa Mchana Wilaya ya Kati Unguja .Ikiwa ni Shamra Shamra za Maadhimisho ya Miaka 62 ya Mapinduzi ya Zanzibar.
Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Nchi Ofisi ya Rais TAMISEMI Mikidadi Mbarouk Mzee akitoa hotuba ya Kitaalamu katika hafla ya Uwekaji wa Jiwe la Msingi Nyumba za  Maafisa na Wapiganaji wa Chuo Cha Mafunzo Hanyegwa  Mchana Wilaya ya Kati Unguja .Ikiwa ni Shamra Shamra za Maadhimisho ya Miaka 62 ya Mapinduzi ya Zanzibar.
Kamishna wa Chuo Cha Mafunzo Khamis Bakari Khamis akitoa hotuba katika hafla ya Uwekaji wa Jiwe la Msingi Nyumba za  Maafisa na Wapiganaji wa Chuo Cha Mafunzo Hanyegwa  Mchana Wilaya ya Kati Unguja .Ikiwa ni Shamra Shamra za Maadhimisho ya Miaka 62 ya Mapinduzi ya Zanzibar.




 

Post a Comment

0 Comments