6/recent/ticker-posts

NMB Benki Yakabidhi Zawadi Shilingi Laki Tano Kwa Mchezaji Mwenye Nidhamu Michuano ya NMB Mapinduzi Cup Kutoka Timu ya Malandege

 

Meneja Muandamizi Mahusiano ya Benki ya NMB na Serikali  CPA Jaha Haji Khamis akimkabidhi zawadi ya Mchezaji Mwenye Nidhamu Michuano ya NMB Mapinduzi Cup 2026 kutoka Timu ya Mlandege Jamal Saleh Ali, wakati wa mchezo wao na Timu ya URA, uliyofanyika katika Uwanja wa New Amaan Complex Zanzibar. Timu ya URA imeshinda mchezo huo kwa bao 1-0.

Post a Comment

0 Comments