Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania,
Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye mazungumzo na Balozi Mteule wa
Jamhuri ya Angola hapa nchini Mhe. Domingos De Almeida Da Silva Coelho, Ikulu
Chamwino mkoani Dodoma tarehe 11 Desemba 2025.
Balozi Mteule wa Jamhuri ya Angola Mhe.
Domingos De Almeida Da Silva Coelho akisaini Kitabu cha Wageni mara baada ya
kuwasili Ikulu Chamwino mkoani Dodoma kwa ajili ya kuwasilisha Hati zake za
Utambulisho tarehe 11 Desemba 2025.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania,
Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye picha ya pamoja na Balozi Mteule wa
Jamhuri ya Angola hapa nchini Mhe. Domingos De Almeida Da Silva Coelho, Ikulu
Chamwino mkoani Dodoma tarehe 11 Desemba 2025.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania,
Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akipokea Hati za Utambulisho kutoka kwa Balozi
Mteule wa Jamhuri ya Slovakia hapa nchini Mhe. Ivan Lancaric, Ikulu Chamwino
mkoani Dodoma tarehe 11 Desemba 2025.
Balozi Mteule wa Jamhuri ya Slovakia hapa nchini
Mhe. Ivan Lancaric akisaini Kitabu cha Wageni mara baada ya kuwasili Ikulu
Chamwino mkoani Dodoma kwa ajili ya kuwasilisha Hati zake za Utambulisho tarehe
11 Desemba 2025.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania,
Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye mazungumzo na Balozi Mteule wa
Jamhuri ya Slovakia hapa nchini Mhe. Ivan Lancaric, Ikulu Chamwino mkoani
Dodoma tarehe 11 Desemba 2025. Balozi Mhe. Ivan Lancaric anakuwa Balozi wa
kwanza kuwakilisha nchi hiyo hapa Tanzania kufuatia kufunguliwa rasmi kwa
Ubalozi wake Desemba 2025. Awali nchi hiyo ilikuwa inawakilishwa kutoka Ubalozi
wa Slovakia ulipo Jijini Nairobi.

0 Comments