6/recent/ticker-posts

Singida Big Star na Azam Washindwa Kuoneshana Ubabe Kombe la NMB Mapinduzi Cup 2025, Zatota Sare ya Bao 1-1 Katika Uwanja wa New Amaan Complex Zanzibar

Kikosi cha Timu ya Singida Big Star kinachoshiriki Michuano ya NMB Mapinduzi Cup 2025,  katika mashindano hayo imetoka sare ya bao 1-1, dhidi ya Timu ya Azam FC  mchezo uliofanyika usiku 31-12-2025 katika Uwanja wa New Amaan Complex Zanzibar.

 

Post a Comment

0 Comments