Rais Mstaafu wa Zanzibar Mhe.Dkt.Ali Mohamed Shein akiondoa pazia kuweka Jiwe la Msingi la Ufunguzi wa Dakhalia ya Skuli ya Sekondari Mikindani Dole Wilaya ya Magharibi "A" Unguja ikiwa ni shamrashamra za Maadhimisho ya Miaka 62 ya Mapinduzi ya Zanzibar, akifungua kwa Niaba ya Skuli za Sekondari za Lumumba, Misufini na Paje Mtule, ufunguzi huo uliyfanyika leo 31-12-2025.








0 Comments