6/recent/ticker-posts

Timu ya Cavariuos Yaiendesha Mchakamcha Timu ya Zenj Bulls

Mchezaji wa Timu ya Cavariuos  akiruka juu kufunga wakati wa mchezo wao Ligi Kanda ya Unguja mchezo uliyofanyika Uwanja wa Mao Zedong Timu Cavariuos imeshinda mchezo huo kwa Vikapu 67-39, dhidi ya Timu ya Zenj Bulls.






 

Post a Comment

0 Comments