Mchezaji wa Timu ya Singida Black Stars akimiliki mpira huku mchezaji wa Timu ya As Otoho akijaribu kumxzia wakati wa mchezo wao wa Kombe la Shirikisho Afrika, uliyofanyika katika Uwanja wa New Amaan Complex Zanzibar.Timu ya Singida Black Stars imeshinda mchezo huo kwa bao 1-0.
SERIKALI KUIFUNGUA PEMBA KIUTALII
-
Na. Mwandishi wetu, Pemba
NAIBU Waziri wa Maliasili na Utalii Tanzania, Mh. Hamad Hassan Chande (Mb),
amesema Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanz...
6 hours ago
















0 Comments