6/recent/ticker-posts

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Balozi Dkt.Emmanuel Nchimbi Amtembelea Rais Mstaafu wa Zanzibar Mhe.Dkt.Ali Mohamed Shein

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Balozi Dkt. Emmanuel Nchimbi, amtembelea na kumjulia hali, Rais Mstaafu wa Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar Mhe. Dkt. Ali Mohamed Shein  katika makazi yake Unguja, Zanzibar leo tarehe 03 Januari 2026. 

Post a Comment

0 Comments