
Makamu wa
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Balozi Dkt. Emmanuel Nchimbi,
amtembelea na kumjulia hali, Rais Mstaafu wa Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar
Mhe. Amani Abeid Karume katika makazi yake Unguja, Zanzibar leo tarehe 03
Januari 2026.
NBC Yaahidi Kuimarisha Ushirikiano Na Wadau, Yasisitiza Mwelekeo Wake
Utoaji Huduma Jumuishi Za Kifedha
-
Benki ya Taifa ya Biashara (NBC) imesisitiza dhamira yake ya kuendelea
kushirikiana kwa ukaribu na wadau mbalimbali wakiwemo Serikali,
wafanyabiashara, w...
12 minutes ago

0 Comments