Mchezaji wa Timu ya KMKM na Muembemakumbi City wakiwania mpira wakati wa mchezo wao wa Ligi Kuu ya PBZ 2025-2026, uliyofanyika katika Uwanja wa Mao Zedong.Timu ya KMKM imeshinda mchezo huo kwa bao 1-0.
Mashabiki wa Timu ya Muembemakumbi City wakishangilia timu yao wakati wa mchezo wa Ligi Kuu ya PBZ 2025-2026, mchezo uliyofanyika katika Uwanja wa Mao Zedong.Timu ya KMKM imeshinda mchezo huo kwa bao 1-0.









0 Comments