6/recent/ticker-posts

Shamrashamra za Maadhimisho ya Miaka 62 ya Mapinduzi ya Zanzibar Uzinduzi wa Kiwanda Cha Soda Maisha Bottlers Zanzibar

Waziri wa Maji, Nishati na Madini Zanzibar Mhe.Nadir Abdkllatif Alwardy akiondoa pazia kuweka Jiwe la Msingi la Ufunguzi wa Kiwanda cha Soda cha Maisha Bottlers Zanzibar, kiliopo katika eneo la Maruhubi Jijini Zanzibar, uzinduzi ni Maadhimisho ya Miaka 62 ya Mapinduzi ya Zanzibar.  
Waziri wa Maji, Nishati na Madini Zanzibar Mhe.Nadir Abdkllatif Alwardy akiwa na viongozi mbalimbali wakipiga makofi baada ya kuweka jiwe la Msingi la Ufunguzi wa Kiwanda cha Soda cha Maisha Bottlers Zanzibar Maruhubi  Jijini Zanzibar, uzinduzi ni Maadhimisho ya Miaka 62 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar.  
Waziri wa Maji, Nishati na Madini Zanzibar Mhe.Nadir Abdkllatif Alwardy akikata utepe kukifungua Kiwanda cha Soda cha Maisha Bottlers Zanzibar Maruhubi Mkoa wa Mjini Magharibi Unguja,  shamrasham za Maadhinisho ya Miaka 62 ya Mapinduzi ya Zanzibar.

























Post a Comment

0 Comments