Waziri wa Ujenzi na Uchukuzi Zanzibar Mhe.Dkt.Khalid Salum Mohamed akiondoa pazia kuweka Jiwe la Msingi la Ufunguzi wa Mfradi wa Nyumba za Makaazi na Biashara Kiembesamaki Wilaya ya Magharibi "B" Unguja, wakati wa Sharashamra za Maadhimisho ya Miaka 62 ya Mapinduzi Matuufu ya Zanzibar.
Muonekano wa Jengo la Shirika la Nyumba Zanzibar (ZHC) lililofunguliwa na Waziri wa Ujenzi na Uchukuzi Zanzibar Mhe.Dkt. Khalid Salum Mohamed, ikiwa ni Shamrashamra za Maadhimisho ya Miaka 62 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar. 

0 Comments