Makamu wa
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Balozi Dkt. Emmanuel Nchimbi,
akisalimiana na Makamu wa Rais Mstaafu wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Mhe. Dkt. Mohamed Gharib Bilal, katika makazi yake Masaki Jijini Dar
es Salaam, leo tarehe 02 Januari 2026..jpg)
Makamu wa
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Balozi Dkt. Emmanuel Nchimbi,
amtembelea na kumjulia hali, Makamu wa Rais Mstaafu wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Mhe. Dkt. Mohamed Gharib Bilal, katika makazi yake Masaki Jijini Dar
es Salaam, leo tarehe 02 Januari 2026.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Balozi Dkt. Emmanuel Nchimbi, akiagana na Makamu wa Rais Mstaafu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Mohamed Gharib Bilal, baada ya kumaliza mazungumzo alipofika nyumbani kwake Masaki Jijini Dar es Salaam, leo tarehe 02 Januari 2026. kumtembelea na kumjulia hali yake.

0 Comments