Waziri Mkuu, Dkt. Mwigulu Nchemba akizungumza na Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais - Muungano na Mazingira, Mhandisi Hamadi Masauni (wa pili kulia) na Naibu Waziri Ofisi ya Rais - Muungano na Mazingira, Dkt. Festo Dugange (kushoto), ofisini kwa Waziri Mkuu, Mlimwa jijini Dodoma,l Januari 20, 2026. Wa tatu kulia ni Katibu Mkuu Ofisi ya Makamu wa Rais - Muungano na Mazingira, Dkt. Richard Muyungi
Waziri Mkuu, Dkt. Mwigulu Nchemba akizungumza na Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais - Muungano na Mazingira, Mhandisi Hamadi Masauni (kulia) na Naibu Waziri Ofisi ya Rais Muungano na Mazingira, Dkt. Festo Dugange, ofisini kwa Waziri Mkuu, Mlimwa jijini Dodoma, Januari 20, 2026.
(Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
0 Comments