6/recent/ticker-posts

WAZIRI MKUU ATEMBELEA HIFADHI YA ARUSHA

WAZIRI MKUU, Dkt. Mwigulu Nchemba na Mkewe, Mama Neema Nchemba (kulia) wakiongozwa na Waziri wa Maliasili na Utalii, Dkt. Ashatu Kijaji (kulia kwakwe) kwenda kujionea maporomoko ya maji katika hifadhi ya Arusha.

WAZIRI MKUU, Dkt. Mwigulu Nchemba, leo januari 31, 2026 akisoma maandishi yanayoonesha kumbukumbu ya ziara ya Mfalme Charles wa Uingereza alipotembelea hifadhi ya Arusha mwaka 2015.

WAZIRI MKUU, Dkt. Mwigulu Nchemba na Mkewe Mama Neema Nchemba akiwa pamoja na Shabiki wa Manchester City na mtangazaji maarufu wa SkyNews Braydon Bent, wakipunga mikono mbele ya maporomoko ya maji katika Hifadhi ya Taifa ya Arusha, alipotembelea hifadhi hiyo leo Januari 32, 2026. Kulia ni Waziri wa Maliasili na Utalii, Dkt. Ashatu Kijaji.
 

WAZIRI MKUU, Dkt. Mwigulu Nchemba, akizungumza baada ya kutembelea hifadhi ya Arusha leo Januari 31, 2026. (kulia ni Mkewe, Mama Neema Nchemba na kushoto ni Waziri wa Maliasili na Utalii, Dkt. Ashatu Kijaji)

Post a Comment

0 Comments