Mchezo wa Kombe la Shirikisho Afrika Kati ya Azam na Nairobi United Mchezo Uliyofanyika Uwanja wa New Amaan Complex Zanzibar.Timu ya Azam Imeshinda Mchezo Huo Kwa Bao 1-0
Mchezaji wa Timu ya Azam Feisal Salum Feitoto akijiandaa kumpita beki wa Timu ya Nairobi United , katika mchezo wa Kombe la Shirikisho Afrika uliyofanyika katika Uwanja wa Amaan Complex Zanzibar.Timu ya Azam imeshinda mchezo huo kwa bao 1-0.
-
*WAZIRI KOMBO AKUTANA NA BALOZI WA JAMHURI YA ZIMBABWE, HELEN BAWANGE
DINGANI*
*Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Mhe. Balozi
M...
TCAA YAIMARISHA USALAMA WA ANGA KWA MIFUMO YA KISASA
-
Mamlaka ya Usafiri wa Anga Tanzania (TCAA) imesema imejizatiti kuendana na
mabadiliko ya teknolojia duniani, ikiwemo matumizi ya Akili Mnemba (AI),
ili ku...
0 Comments