Mkurugenzi wa Mawasiliano ya Rais, Ikulu,
Bw. Bakari Machumu akizungumza na Waandishi wa Habari, Ikulu Jijini Dar es
Salaam tarehe 16 Februari, 2026 kuhusu Ziara za Kikazi za Rais wa Jamhuri ya
Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan, alizofanya Jijini Addis
Ababa nchini Ethiopia tarehe 12-15 Februari, 2026 pamoja na Dubai, Umoja wa
Falme za Kiarabu (UAE) 
Mkurugenzi wa Mawasiliano ya Rais, Ikulu,
Bw. Bakari Machumu akizungumza na Waandishi wa Habari, Ikulu Jijini Dar es
Salaam tarehe 16 Februari, 2026 kuhusu Ziara za Kikazi za Rais wa Jamhuri ya
Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan, alizofanya Jijini Addis
Ababa nchini Ethiopia tarehe 12-15 Februari, 2026 pamoja na Dubai, Umoja wa
Falme za Kiarabu (UAE) tarehe 2-6 Februari, 2026.
Waandishi wa Vyombo mbalimbali vya Habari
wakiwa kwenye Mkutano kuhusu Ziara za Kikazi za Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan, alizofanya Jijini Addis Ababa nchini
Ethiopia tarehe 12-15 Februari, 2026 pamoja na Dubai, Umoja wa Falme za Kiarabu
(UAE) tarehe 2-6 Februari, 2026. 
Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa
Afrika Mashariki Mhe. Balozi Mahamoud Thabit Kombo akizungumza na Waandishi wa
Habari, Ikulu Jijini Dar es Salaam tarehe 16 Februari, 2026 kuhusu mafanikio ya
Ziara ya Kikazi ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia
Suluhu Hassan, aliyofanya Jijini Addis Ababa nchini Ethiopia tarehe 12-15
Februari, 2026. Waziri Mhe. Balozi Kombo alielezea kwa kina ushiriki wa
Tanzania katika mkutano wa Wakuu wa Nchi na Serikali wa Umoja wa Afrika (AU)
pamoja na mafanikio yaliyopatikana katika mkutano huo.

Katibu Mkuu wa Wizara ya Afya Dkt. Seif
Shekalaghe akizungumza na Waandishi wa Habari, Ikulu Jijini Dar es Salaam
tarehe 16 Februari, 2026 kuhusu mafanikio ya Ziara ya Kikazi ya Rais wa Jamhuri
ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan, aliyofanya Jijini Addis
Ababa nchini Ethiopia tarehe 12-15 Februari, 2026.
Mkurugenzi wa Idara ya Uratibu wa Biashara
ya Kimataifa na Diplomasia ya Uchumi kutoka Wizara ya Mambo ya Nje na
Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Mhe. Balozi John Ulanga akizungumza katika
Mkutano wa Waandishi wa Habari, Ikulu Jijini Dar es Salaam kuhusu Ziara ya
Kikazi ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu
Hassan, aliyofanya Dubai, Umoja wa Falme za Kiarabu (UAE) tarehe 2-6 Februari, 2026. Mhe. Balozi John Ulanga alielezea fursa
mbalimbali ambazo Tanzania imepata kupitia Uwekezaji wa Teknolojia ya
Mawasiliano.
Mkurugenzi wa Idara ya Ushirikiano wa
Kimataifa kutoka Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Mhe.
Balozi Noel Kaganda akizungumza katika Mkutano wa Waandishi wa Habari, Ikulu
Jijini Dar es Salaam kuhusu Ziara ya Kikazi ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan, aliyofanya Dubai, Umoja wa Falme za
Kiarabu (UAE) tarehe 2-6 Februari, 2026. Balozi Kaganda alielezea kwa kina
faida za ushiriki wa Tanzania katika mikutano mbalimbali ilifoyanyika Dubai.
Viongozi mbalimbali waliohudhuria Mkutano wa
Waandishi wa Habari, Ikulu Jijini Dar es Salaam tarehe 16 Februari, 2026 kuhusu
Ziara za Kikazi za Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia
Suluhu Hassan, alizofanya Jijini Addis Ababa nchini Ethiopia tarehe 12-15
Februari, 2026 pamoja na Dubai, Umoja wa Falme za Kiarabu (UAE) tarehe 2-6
Februari, 2026. 
Naibu Waziri wa Maji, Mhe. Mhandisi Kundo
Mathew akizungumza katika Mkutano wa Waandishi wa Habari, Ikulu Jijini Dar es
Salaam kuhusu Ziara ya Kikazi ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe.
Dkt. Samia Suluhu Hassan, aliyofanya Jijini Addis Ababa nchini Ethiopia tarehe
12-15 Februari, 2026. Naibu Waziri Mhandisi Kundo alizungumzia kwa kina masuala
mbalimbali yaliyojiri kwenye sekta ya maji pamoja na faida ambazo Tanzania
imepata katika mkutano huo.
.jpeg)

0 Comments