6/recent/ticker-posts

Rais Dkt Samia ahitimisha ziara yake ya kikazi UAE



Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Dkt. Samia Suluhu Hassan akiagana na viongozi mbalimbali katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Al Maktoum (DWC) Dubai, mara baada ya kuhitimisha ziara yake ya Kikazi, Umoja wa Falme za Kiarabu (UAE), tarehe 6Februari, 2026.
Mhe. Rais Dkt. Samia alishiriki kwenye Mkutano wa Dunia wa Serikali (World Governments Summit – WGS) 2026 pamoja na Uzinduzi wa Jukwaa la Kimataifa wa Uwekezaji Afrika (GAIS).

 

Post a Comment

0 Comments