6/recent/ticker-posts

Rais Dkt Samia akutana na kufanya mazungumzo na Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Shirikisho la Ethiopia, Mheshimiwa Abiy Ahmed Ali.



Pembezoni mwa Mkutano wa Wakuu wa Nchi na Serikali wa Umoja wa Afrika, nimekuwa na wakati mzuri kuzungumza na Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Shirikisho la Ethiopia, Mheshimiwa Abiy Ahmed Ali.
Tanzania na Ethiopia zina uhusiano wa kihistoria na ushirikiano katika maeneo ya kimkakati ikiwemo usafiri wa anga, nishati, kilimo, mifugo, biashara, uwekezaji pamoja na ulinzi na usalama. Tutaendeleza ushirikiano huu ili kuchochea maendeleo kwa manufaa ya wananchi wetu.

 

Post a Comment

0 Comments