Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye picha ya pamoja na Viongozi wa Wakuu wa nchi zinazounda Umoja wa Afrika mara baada ya ufunguzi wa Mkutano wa Wakuu wa Nchi wa Umoja wa Afrika ambao unaongozwa na Kaulimbiu ya Mwaka 2026 inayosema: “Kuhakikisha Upatikanaji Endelevu wa Maji na Huduma Salama za Usafi wa Mazingira ili Kufikia Malengo ya Ajenda 2063.” Tarehe 14 Februari, 2026 jijini Addis Ababa, Ethiopia.
UPATIKANAJI WA DAWA WAIMARIKA NCHINI
-
OWM-TAMISEMI
Naibu Waziri Ofisi ya Waziri Mkuu Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa
(OWM– TAMISEMI) anayeshughulikia masuala ya Afya, Mhe. Dkt. Jafari ...
MAHAFALI YA 48 YA BODI YA NBAA YAFANA
-
Wahitimu wa Bodi ya Taifa ya Wahasibu na Wakaguzi wa Hesabu (NBAA) wakiwa
kwenye maadamano ya kitaaluma wakati wa mahafali ya 48 ya Bodi hiyo
yaliyofanyik...
-
*WAZIRI KOMBO AKUTANA NA BALOZI WA JAMHURI YA ZIMBABWE, HELEN BAWANGE
DINGANI*
*Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Mhe. Balozi
M...
0 Comments