Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akizungumza na
Waziri Mkuu wa Antigua na Barbuda Mhe. Gastone Browne pembezoni mwa mkutano wa
Jukwaa la Serikali za Dunia (WGS2026), tarehe 3 Februari, 2026 Madinat
Jumeirah, Dubai, Umoja wa Falme za Kiarabu (UAE).
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akizungumza na
Waziri Mkuu wa Antigua na Barbuda Mhe. Gastone Browne pembezoni mwa mkutano wa
Jukwaa la Serikali za Dunia (WGS2026), tarehe 3 Februari, 2026 Madinat
Jumeirah, Dubai, Umoja wa Falme za Kiarabu (UAE). Pamoja na mambo mengine
Viongozi hawa walikubaliana kushirikiana katika masuala mbalimbali yakiwemo
kukuza utalii..jpeg)
.jpg)
0 Comments