Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt.Samia Suluhu Hassan akizungumza na Katibu Mkuu wa Shirika la Umoja wa Mataifa la Utalii (UN Tourism), Bi. Shaikha Nasser Al Nowais pembezoni mwa mkutano wa Jukwaa la Serikali za Dunia (WGS2026), tarehe 03 Februari, 2026 Madinat Jumeirah, Dubai, Umoja wa Falme za Kiarabu (UAE), ambapo walijadili kuhusu kuimarisha ushirikiano wa Tanzania na UN Tourism katika undeshaji wa shughuli za utalii, ikiwemo utekelezaji wa miradi mikubwa ya kimkakati katika sekta hiyo nchini.
TRA YAZINDUA DAWATI MAALUM LA UWEZESHAJI BIASHARA KWA MASUALA YA FORODHA
KWA WAFANYABIASHARA WA KARIAKOO
-
Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) imezindua dawati maalum la uwezeshaji
biashara za Forodha kwa wafanyabiashara wa Kariakoo pekee ili kuharakisha
upatikanaj...
11 hours ago


0 Comments