Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye
mazungumzo na Makamu wa Rais wa Umoja wa Falme za Kiarabu (UAE) na
Mtawala wa Dubai, Sheikh
Mohammed bin Rashid Al Maktoum, kando ya Mkutano wa Dunia (WGS2026) hapa, Dubai,
tarehe 04 Februari, 2026.
Rais wa Jamhuri
ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akipokea zawadi ya kitabu
kutoka kwa Makamu wa Rais wa Umoja wa Falme za Kiarabu
(UAE) na Mtawala wa Dubai, Sheikh Mohammed bin Rashid Al Maktoum, mara baada ya
mazungumzo kati yao, kando ya Mkutano wa Dunia (WGS2026) hapa, Dubai, tarehe 04
Februari, 2026.

.jpeg)
0 Comments