Wabunge kutoka Zanzibar wamefanya kikao cha kuchagua vongozi wa Wabunge wa Zanzibar kwa lengo la kuimarisha uratibu, mshikamano na ufanisi wa uwakilishi Bungeni. Kikao kilifanyika Dodoma
Viongozi waliochaguliwa ni:
• Mwenyekiti – Mhe. Hamad Yussuf Masauni
• Makamu Mwenyekiti – Mhe. Ussi Salum Pondeza
• Katibu Mkuu – Mhe. Zainab Abdallah Issa
• Mweka Hazina – Mhe. Amina Ali Mzee


0 Comments