Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan, Januari 31, 2026 ametunukiwa Tuzo ya Kiongozi Mwenye Maono (Visionary Leader Award) katika hafla ya utoaji tuzo ya Serengeti Awards iliyofanyika kwenye ukumbi wa hotel ya Mount Meru Jijini Arusha. Pichani, Waziri Mkuu, Dkt. Mwigulu Nchemba akipokea tuzo hiyo kwa niaba ya Rais Samia kutoka kwa Waziri wa Maliasili na Utali, Dkt. Ashatu Kijaji. .Kulia ni Mkuu wa Mkoa wa Arusha, Amos Makala
Waziri Mkuu, Dkt. Migulu Nchemba akionesha Tuzo ya Kiongozi Mwenye Maono (Visionary Leader Award) aliyotunukiwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan katika hafla ya utoaji tuzo ya Serengeti Awards iliyofanyika kwenye ukumbi wa hotel ya Mount Meru Jijini Arusha, Januari 31, 2026. Mheshimiwa Waziri Mkuu alimwakilisha Rais Samia katika hafla hiyo.
Waziri Mkuu, Dkt. Mwigulu Nchemba akimkabidhi tuzo, Brydon Bent raia wa Uingereza ambaye ni mhamasishaji wa vivutio vya utalii vya Tanzania , Dkt. Samia Suluhu Hassan katika hafla ya utoaji tuzo ya Serengeti Awards iliyofanyika kwenye ukumbi wa hotel ya Mount Meru Jijini Arusha, Januari 31, 2026. Mheshimiwa Waziri Mkuu alimwakilisha Rais Samia katika hafla hiyo. Kushoto ni Baba mzazi wa kijana huyo, Mark Bent na kushoto ni John Makanza wa Taasisi ya GUSSA ya Ujerumani.
Waziri Mkuu, Dkt. Mwigulu Nchemba akimkabidhi tuzo, Brydon Bent raia wa Uingereza ambaye ni mhamasishaji wa vivutio vya utalii vya Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan katika hafla ya utoaji tuzo ya Serengeti Awards iliyofanyika kwenye ukumbi wa hotel ya Mount Meru Jijini Arusha, Januari 31, 2026. Mheshimiwa Waziri Mkuu alimwakilisha Rais Samia katika hafla hiyo.
Waziri Mkuu, Dkt. Mwigulu Nchemba akipokea tuzo maalum ya kutambua mchango wake katika kuendeleza utalii nchini kutoka kwa Naibu Waziri wa Maliasili na Utalii, Hamad Hassan katika hafla ya utoaji tuzo ya Serengeti Awards iliyofanyika kwenye ukumbi wa hotel ya Mount Meru Jijini Arusha, Januari 31, 2026. Kulia ni Mkewe Mama Neema Nchemba na kushoto ni Waziri wa Maliasili na Utalii, Dkt. Ashatu Kijaji
Waziri Mkuu, Dkt. Mwigulu Nchemba akipokea zawadi ya jezi kutoka kwa Brydon Bent raia wa Uingereza ambaye ni mhamasishaji wa vivutio vya utalii vya Tanzania , Dkt. Samia Suluhu Hassan katika hafla ya utoaji tuzo ya Serengeti Awards iliyofanyika kwenye ukumbi wa hotel ya Mount Meru Jijini Arusha, Januari 31, 2026.
Waziri Mkuu, Dkt. Mwigulu Nchemba akizungumza alipomwakilisha Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan katika hafla ya utoaji tuzo ya Serengeti Awards iliyofanyika kwenye ukumbi wa hotel ya Mount Meru Jijini Arusha, Januari 31, 2026. Mheshimiwa Waziri Mkuu alimwakilisha Rais Samia katika hafla hiyo. (Picha na ofisi ya Waziri Mkuu)
.jpg)
.jpg)
.jpg)




0 Comments