6/recent/ticker-posts

Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Mwingulu Nchemba Amezindua Kituo cha Gesi Asilia

WAZIRI MKUU, Dkt. Mwigulu Nchemba akizindua kituo Mama cha Gesi Asilia Iliyosindikwa (CNG) cha Puma Energies kilichopo Salasala jijini Dar es Salaam leo Februari 9, 2026. Kushoto ni Naibu Waziri wa Nishati, Salome Makamba na mwingine ni Mbunge wa Kawe, Geofrey Timoth. 
WAZIRI MKUU, Dkt. Mwigulu Nchemba, akipokea maelezo kutoka kwa Meneja Mradi wa kituo Mama cha Gesi Asilia Iliyosindikwa (CNG) cha Puma Energies, Chagaka Kalimbia wakati alipozindua kituo Mama cha Gesi Asilia Iliyosindikwa (CNG) cha Puma Energies kilichopo Salasala jijini Dar es Salaam leo Februari 9, 2026.
WAZIRI MKUU, Dkt. Mwigulu Nchemba akibofya kitufe kuashiria uzinduzi rasmi wa kituo Mama cha Gesi Asilia Iliyosindikwa (CNG) cha Puma Energies kilichopo Salasala jijini Dar es Salaam leo Februari 9, 2026. Pembeni ni Naibu Waziri wa Nishati, Salome Makamba. 
WAZIRI MKUU, Dkt. Mwigulu Nchemba, akipokea maelezo kutoka kwa Meneja Mradi wa kituo Mama cha Gesi Asilia Iliyosindikwa (CNG) cha Puma Energies, Chagaka Kalimbia wakati alipozindua kituo Mama cha Gesi Asilia Iliyosindikwa (CNG) cha Puma Energies kilichopo Salasala jijini Dar es Salaam leo Februari 9, 2026.

WAZIRI MKUU, Dkt. Mwigulu Nchemba, akizungumza na Wananchi waliojitokeza katika Hafla ya Uzinduzi wa kituo Mama cha Gesi Asilia Iliyosindikwa (CNG) cha Puma Energies kilichopo Salasala jijini Dar es Salaam leo Februari 9, 2026.

PICHA NA OFISI YA WAZIRI MKUU

Post a Comment

0 Comments