6/recent/ticker-posts

Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Dlt.Mwigulu Nchemba Zaiarani Tanga Daraja la Pangani

WAZIRI MKUU, Dkt. Mwigulu Nchemba akizungumza na mlemavu wa miguu, Nassor Shaban Sabuni ambaye alijitokeza katika mkutano wa hadhara wa Waziri Mkuu uliofanyika katika Uwanja wa Lemore Tanga mjini leo Februari 15, 2026.  

Ndugu Shabani alimuomba Waziri Mkuu msaada wa Pikipiki ya Matairi Matatu (Bajaji) ambapo Dkt. Mwigulu aliridhia ombi hilo na kuagiza kupatiwa aina ya bajaji anayoitaka.

Muonekano wa Daraja la Pangani lenye urefu wa mita 525 na barabara unganishi zenye urefu wa kilomita 25.6. Gharama ya mradi huo ni Shilingi bilioni 124.9 ambalo Waziri Mkuu Dkt. Mwigulu Nchemba leo tarehe 15 Februari, 2026 amelikagua akiwa ziarani mkoani Tanga. PICHA NA OFISI YA WAZIRI MKUU.



 

Post a Comment

0 Comments