6/recent/ticker-posts

ZFF yasaini mkataba wa mashirikiano na Taasisi ya Tanzania Security Limited (TSL)




 Rais wa Shirikisho la Mpira Wa Miguu Zanzibar (ZFF) Dkt; Suleiman Mahmoud Jabir kwa niaba ya Shirikisho hilo amasaini Mkataba wa Mashirikiano na Taasisi ya Tanzania Security Limited (TSL) kutoka jijini Dar es Salam, wenye lengo la Kuipandisha thamani Ligi Kuu ya Zanzibar, Timu ya Taifa ya Zanzibar pamoja maeneo mengine ndani ya Shirikisho la Mpira wa Miguu Zanzibar (ZFF).

Hafla hiyo imefanyika katika Ukumbi wa Mikutano wa Hotel ya Amaan Complex na kuhudhuriwa pia na Viongozi mbali mbali wa ZFF, ikiwemo Wajumbe wa Kamati Tendaji na Viongozi Vyama vya Mpira Mpira wa Miguu Mikoa.

Post a Comment

0 Comments