6/recent/ticker-posts

RAIS WA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA MHESHIMIWA DKT. SAMIA SULUHU HASSAN AKUTANA NA KUZUNGUMZA NA MTENDAJI MKUU WA KAMPUNI YA SUKARI YA ABF YA UINGEREZA

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. Samia Suluhu Hassan akizungumza na Mtendaji Mkuu wa Kampuni ya Sukari ya ABF ya Uingereza Bw. Paul Kenward, tarehe 11 Machi, 2026 Ikulu ya Chamwino mkoani Dodoma.

 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye picha  na Mtendaji Mkuu wa Kampuni ya Sukari ya ABF ya Uingereza Bw. Paul Kenward, tarehe 11 Machi, 2026 Ikulu ya Chamwino mkoani Dodoma.

Post a Comment

0 Comments