Waziri Mkuu, Dkt. Mwigulu Lameck Nchemba, leo Machi 14, 2026 akiweka jiwe la msingi la ujenzi wa Jengo la Taaluma na Bweni la wanafunzi katika Kampasi ya Mizengo Pinda ya Chuo Kikuu cha Sokoine cha Kilimo (SUA) iliyopo Halmashauri ya Wilaya ya Mpimbwe mkoani Katavi. Mradi huo wenye thamani ya shilingi bilioni 17.4 unahusisha ujenzi wa jengo la taaluma lenye kumbi za mihadhara na maabara mbalimbali, ambalo linatarajiwa kuhudumia wanafunzi takribani 2,000 kwa wakati mmoja, pamoja na bweni litakalokuwa na uwezo wa kulaza wanafunzi 400.
Waziri Mkuu Dkt. Mwigulu Nchemba akizungumza na wananchi wa Halmashauri ya Wilaya ya Mpimbwe mkoani Katavi wakati alipofanya Mkutano wa hadhara katika eneo la kibaoni leo tarehe 14 Machi, 2024.
Waziri Mkuu Dkt. Mwigulu Nchemba akizungumza na wananchi wa Halmashauri ya Wilaya ya Mpimbwe mkoani Katavi wakati alipofanya Mkutano wa hadhara katika eneo la kibaoni leo tarehe 14 Machi, 2024.
Muonekano wa Jengo la Taaluma na Bweni la wanafunzi katika Kampasi ya Mizengo Pinda ya Chuo Kikuu cha Sokoine cha Kilimo (SUA) iliyopo Halmashauri ya Wilaya ya Mpimbwe mkoani Katavi ambapo Waziri Mkuu Dkt. Mwigulu Nchemba amelizindua rasmi leo tarehe 14 Machi, 2026. Mradi huo wenye thamani ya shilingi bilioni 17.4 unahusisha ujenzi wa jengo la taaluma lenye kumbi za mihadhara na maabara mbalimbali, ambalo linatarajiwa kuhudumia wanafunzi takribani 2,000 kwa wakati mmoja, pamoja na bweni litakalokuwa na uwezo wa kulaza wanafunzi 400.
Waziri Mkuu Dkt. Mwigulu Nchemba akizungumza na wananchi waliojitokeza wakati akikagua Daraja la Sitalike katika mto Katuma, lililopo katika Halmashuri ya Wilaya ya Nsimbo mkoani Katavi, ambalo linaunganisha mkoa huo na maeneo mengine ya Nyanda za Juu Kusini pamoja na nchi jirani ikiwemo Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo, Burundi na Rwanda.
WAZIRI MKUU, Dkt. Mwigulu Nchemba leo tarehe 14 Machi 2026 amekagua Daraja la Sitalike katika mto Katuma, lililopo katika Halmashuri ya Wilaya ya Nsimbo mkoani Katavi, ambalo linaunganisha mkoa huo na maeneo mengine ya Nyanda za Juu Kusini pamoja na nchi jirani ikiwemo Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo, Burundi na Rwanda.
Muonekano wa Daraja la Sitalike katika mto Katuma, lililopo katika Halmashuri ya Wilaya ya Nsimbo mkoani Katavi ambalo Waziri Mkuu Dkt. Mwigulu Nchemba leo tarehe 14 Machi, 2026 amefanya ziara ya kulikagua ambapo linaunganisha mkoa huo na maeneo mengine ya Nyanda za Juu Kusini pamoja na nchi jirani ikiwemo Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo, Burundi na Rwanda.







0 Comments