6/recent/ticker-posts

NAIBU KATIBU MKUU OFISI YA MAKAMU WA RAIS ASHIRIKI MAZOEZI YA WATUMISHI

Naibu Katibu Mkuu (Mazingira) Ofisi ya Makamu wa Rais, Mhe. Balozi Baraka Luvanda (wa pili kulia) akijumuika na watumishi wa ofisi hiyo katika bonanza la mazoezi ya pamoja lililolenga kujenga afya na kuimarisha utimamu wa miili lililofanyika Machi 14, 2026 jijini Dodoma.

Naibu Katibu Mkuu (Mazingira) Ofisi ya Makamu wa Rais, Mhe. Balozi Baraka Luvanda (kulia) akijumuika na watumishi wa ofisi hiyo katika bonanza la mazoezi ya pamoja lililolenga kujenga afya na kuimarisha utimamu wa miili lililofanyika Machi 14, 2026 jijini Dodoma.

Watumishi wa Ofisi ya Makamu wa Rais wakishiriki bonanza la mazoezi ya pamoja lililolenga kujenga afya na kuimarisha utimamu wa miili lililofanyika Machi 14, 2026 jijini Dodoma.

Watumishi wa Ofisi ya Makamu wa Rais wakishiriki bonanza la mazoezi ya pamoja lililolenga kujenga afya na kuimarisha utimamu wa miili lililofanyika Machi 14, 2026 jijini Dodoma.

Naibu Katibu Mkuu (Mazingira) Ofisi ya Makamu wa Rais, Mhe. Balozi Baraka Luvanda (kushoto) akijumuika na watumishi wa ofisi hiyo katika bonanza la mazoezi ya pamoja lililolenga kujenga afya na kuimarisha utimamu wa miili lililofanyika Machi 14, 2026 jijini Dodoma.

Post a Comment

0 Comments