6/recent/ticker-posts

Mhe. Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan afutarisha Wananchi wa Mkoa wa Kaskazini Pemba

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akijumuika na Makundi mbalimbali ya Wananchi wa  Wete kwenye futari aliyowaandaliaa katika Ukumbi wa Shule ya Sekondari Utaani Mkoa wa Kaskazini Pemba tarehe 14 Machi 2026.






Post a Comment

0 Comments