6/recent/ticker-posts

Waziri Mkuu Mhe.Dkt Mwigulu Nchemba Ashiriki Ibaada Katavi

Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Mwigulu Nchemba akitoa salamu katika Ibada iliyofanyika katika Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT) Usharika wa Mpanda Mjini, Dayosisi ya Ziwa Tanganyika mkoani Katavi leo tarehe 15 Machi, 2026. PICHA NA OFISI YA WAZIRI MKUU



Post a Comment

0 Comments