MWANAMAMA Salma Juma akiwa katika Gari yake alishinda katika Mchezo wa HAMISI SMS
MWANAMAMA Salama Juma aibuka mshindi wa kweanza wa Gari Mwanmke Zanzibar katika shindano la HAMISI SMS, KULIA Muwakilishi wa Jim,bo la Rahaleo Nassor Salum Jazira na kushoto mwenyewe HAMISI SMS akishuhudia kukabidhiwa kwa zawadi washindi saba HAMISI SMS watano wa Vespa na Wawili ya Gari.
MSHINDI wa kwanza wa mchezo wa mapikipiki Yussuf Adbi BAYUU.akitabasamu akikabidhiwa zawadi yake na Muwakilishi wa Jimbo la Rahaleo Nassor Salim katikati Meneja Mauzo wa ZANTEL Mohammed Mussa Baucha na kulia kwa muheshim,uwa ni HAMISI SMS akitabasamu na kumpongeza mshindi huyo.
NAE Mshindi wa Pili wa Mchezo wa Pikipiki Hija Ramadhani akikabidhiwa zawadi yake.
MSHINDI wa tatu wa Mchezo wa Mapikipiki Ashraf Shaibu akipokea zawadi yake kutoka kwa Muwakilishi ya jimbo la Rahaleo Nassor Salim katikati Meneja Mauizo wa ZANTEL Mohammed Mussa Baucha na kulia HAMISI SMS.
WAPANDA Pikipiki wakiwa mbele ya mgeni wa heshima wakisubiri zawadi zao kwa kushiriki mashindano ya mchezo huo, ulifanyika viwanja vya kisonge michezani.
MSHINDI wa Gari ya HAMISI SMS Salama Juma akiwa katika gari yake baada ya kukabidhiwa kwa kupata ushindi wa shindano la HAMISI SMS katika viwanja vya Kisonge Michezani.
MSHINDI wa Vesoa za HAMISI SMS Mabaad Ame akikabidhiwa Vespa yake na Muwakilishi wa Jimbo la Rahaleo Nassor Salim Jazira kulia Meneja Mauzo wa Kampuni ya simu ya ZANTEL Mohammed Mussa.nma HAMISI SMS akitabasamu kwa ushindi wa mteja wake kuibuka na Vespa hiyo.
MUWAKILISHI wa Jimbo la Rahaleo Nassor Salim Jazira kushoto akimpa mkono wa pongezi mshindi wa Vespa ya HAMISI SMS, Hassan Omary, kushoto Meneja Mauzo wa ZANTEL Mohammed Mussa Baucha, na katikati kushoto HAMISI SMS akisuhudia.
HAMISI SMS kushoto akimkabidhi mshindi wa Vespa za HAMISI SMS Salum Abdalla na kulia Muwakilishi wa Jimbo la Rahaleo Nassor Salim Jazira.
VESPA za Washindi wa shindano la HAMISI SMS zikingijea kukabidhiwa washindi katika viwanja vya Kisonge Michezani ikitanguliwa na mchezo wa mapikipiki.
WANANCHI wakifuatilia mchezo ya pikipiki katika viwanja vya Kisonge Michezani.
HAMIS SMS akifuatilia mchezo wa Mapikipiki kabla ya kuwakabidhi zawadi washindi wa shindano la HAMISI SMS walioshinda Vespa na Gari kwa Zanzibar katika viwanja vya Kisonge Michezani.anaifuata ni Muwakilishi wa Rahaleo Nassor Salamu Jazira
MCHEZAJI wa Mchezo wa Pikipiki Hija Ramadhani akionesha ustar wake katika mchezo huo.
HATA na sisi tunaweza ndivyo inavyoonekana akisema Mohammed Omary akiwa hewani katika mashindano hayo.
MCHEZAJI Mohammed Omary akionesha jinsi ya kurusha pikipiki katika mashindano yalioandaliwa na Kampuni ya simu za mkononi ya ZANTEL.
No comments:
Post a Comment