Habari za Punde

DK SHEIN AZUNGUMZA NA WANAMICHEZO WA IKULU ZA ZENJ, DAR

 Rais wa Zanzibar Dk Ali Mohamed Shein,akizungumza na wanamichezo wa Timu za Ikulu ya Zanzibar na Ikulu ya Dar es Salaam,wakati timu hizo zilipofika Ikulu Mjini Zanzibar kuonana na Rais,ambapo  zitakuwa na mapambano mbali mbali,katika kukuza ushikiano wa pamoja
 Wanamichezo wa  Timu za Ikulu ya Zanzibar na Dar es Salaam wakimsikiliza Rais wa Zanzibar Dk ALi Mohamed Shein,akiwaaidhi walipofika Ikulu Zanzibar jana
 Rais wa Zanzibar Dk Ali Mohamed Shein,akisalimiana na wanamichezo wa Timu za Ikulu ya Zanzibar na Ikulu ya Dar es Salaam,wakati timu hizo zilipofika Ikulu Mjini Zanzibar kuonana na Rais,ambapo zitakuwa na mapambano mbali mbali,katika kukuza ushikiano wa pamoja.


Wanamichezo wa  Timu za Ikulu ya Zanzibar na Dar es Salaam wakimsikiliza Rais wa Zanzibar Dk ALi Mohamed Shein,akiwaaidhi walipofika Ikulu Zanzibar jana

Picha na Ramadhan  Othman, Ikulu

2 comments:

  1. Kaka asalam alaikum heshima yako.pole za majukumu.
    hongeara kwa kazi nzuri ya kutuhabarisha yanayojiri zanzibar na vitongoji vyake.
    Mimi ni mwanablog pia ni mfuatiliaji wa blog yako naomba msaada wako unipe link hapo kwako kwenye BLOG NA TOVUTI NYENGINE ili nami jamii ipate kunifahamu na kutokana na kile nachokifanya.nami pia ntaku-link hapa kwangu.
    Naimani kaka utafanya hivyo nakutakia kila la heri mola akubariki,asante.

    ReplyDelete
  2. Nitumie email kwenye othmanmaulid@gmail.com

    ReplyDelete

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.