6/recent/ticker-posts

MAFUTA YA ULANGUZI LITA 2500/=

VIJANA wakifanya biashara ya kurusha mafuta ya Petroli isivyo halali baada ya mafuta hayo kuwa  adimu kuanzia jana na leo kama walivyokutwa wakiwa  katika eneo la kijangwani wakifanya biashara hiyo.

Post a Comment

0 Comments