Raha Jipe mwenyewe usisubiri kupewa kana anavyoonekana mbuzi huyu akiwa katika mapumziko juu ya gari katika maeneo ya mtaa jirani na msikiti shurba kidongochekundu Wilaya ya Mjini Unguja, kama alivyokuta na mpiga picha wetu katika eneo.
IFM YATAKIWA KUTENGENEZA MASHIRIKIANO NA WADAU SEKTA YA ELIMU KWA MASLAHI
YA TAIFA.
-
Na Janeth Raphael MichuziTv -Dodoma
Katibu Tawala Mkoa wa Dodoma Dkt Hatib Kazungu ametoa Rai kwa Uongozi wa
Chuo cha Usimamizi wa Fedha (IFM)Tawi la Dodom...
1 hour ago



0 Comments