Habari za Punde

MHADHARA WA ELIMU YA DINI YA SAYANSI MSIKITI WA RAHALEO

 WAUMINI wa Dini ya Kiislam wakimsikiliza Profesa Adam kutoka Nchini Kenya akitowa mada ya Elimu ya Sayansi kwa Waumini hao katika Msikiti wa Rahaleo.
PROFESA Adam akitowa mhadhara wa dini katika Msikiti wa Rahaleo unaotokana na Elimu ya Sayansi, ilioandaliwa na Uongozi wa Msikiti huo.  

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.