Habari za Punde

ZIARA YA RAIS MKOA WA MJINI MAGHARIBI

 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi,Dk Ali Mohamed Shein,akisalimiana na Meya wa Manispaa ya Mjini Zanzibar,alipotembelea Ofisi ya Mkuu wa Mkoa Mjini Magharibi,Abdalla Mwinyi Khamis,alipokuwa katika  ziara ya kutembelea sehemu mbali mbali za Mkoa wa Mjini Magharibi, zilizo chini ya Ofisi ya Rais na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi


 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi,Dk Ali Mohamed Shein,akibadilishana mawazo na Mkuu wa Mkoa wa Mjini,Abdalla Mwinyi Khamis,(wapili kulia)Waziri Ali Juma Shamuhuna,Wizara ya Ardhi,Makaazi,Maji na Nishati,(katikati) na Meya wa Manispaa ya Mjini Zanzibar,alipotembelea Ofisi ya Mkuu wa Mkoa Mjini,hapo Vuga Mjini Zanzibar,alipokuwa katika ziara ya kutembelea sehemu mbali mbali za Mkoa wa Mjini Magharibi, zilizo chini ya Ofisi ya Rais na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi.


 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi,Dk Ali Mohamed Shein,akipokea ripoti ya Mkoa kutoka Mkuu wa Mkoa Mjini Mahgaribi Abdalla Mwinyi Khamis,alipotembelea ofisi ya Mkuu wa Mkoa Mjini,hapo Vuga Mjini Zanzibar,alipokuwa katika  ziara ya kutembelea sehemu mbali mbali za Mkoa wa Mjini Magharibi, zilizo chini ya Ofisi ya Rais na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi
 Baadhi ya Maofisa wa kutoka wizara mbali mbali zilizo chini ya  Ofisi ya Rais na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, wakimsikiliza Rais wa Zanzibar,Dk Ali Mohamed Shein,(hayupo pichani) alipozungumza nao jana,akiwa katika ziara ya Mkoa wa Mjini Magharibi
 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi,Dk Ali Mohamed Shein,akitembelea eneo la bwawa la Hoteli ya bwawani jana,akiwa katika ziara ya kutembelea sehemu mbali mbali za Mkoa wa Mjini Magharibi, zilizo chini ya Ofisi nya Rais na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi

 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi,Dk Ali Mohamed Shein,akiangalia ramani,pamoja na kupata maelezo kutoka kwa kaimu Mkurugenzi wa Manispaa Mzee Khamis,alipotembelea eneo la viwanja vya Mnazi Mmoja jana,akiwa katika ziara ya kutembelea sehemu mbali mbali za Mkoa wa Mjini Magharibi, zilizo chini ya Ofisi nya Rais na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi.


 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi,Dk Ali Mohamed Shein, akisalimiana na wazee wa jimbo la Mpendae alipotembelea kituo cha Afya Mpendae wilaya ya mjini,alipokuwa katika ziara ya kutembelea Ofisi mbali mbali zilizo chini ya Ofisi ya Rais na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi,Mkoa wa Mjini Magharibi.


 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi,Dk Ali Mohamed Shein,akiangalia mashine  za uzalishaji wa Mbegu za Ng'ombe, huko Maruhubi katika kituo cha uzalishaji mbegu hizo, kilicho chini ya Wizara ya Mifugo na Uvuvi,alipokuwa katika  ziara ya kutembelea Ofisi mbali mbali    zilizo chini ya Ofisi ya Rais na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi,katika Mkoa wa Mjini Magharibi
 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi,Dk ALi Mohamed Shein,(wa pili kushotoi)akisalimiana na watoto wa Skuli ya Maandalizi ya Meya,baada ya kuzungumza na wazee na wananchi wakti wa uzinduzi wa skuli hiyo,alipokuwa katika  ziara ya kutembelea Ofisi mbali mbali    zilizo chini ya Ofisi ya Rais na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi,Mkoa wa Mjini Magharibi.
 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi,Dk ALi Mohamed Shein,(wa pili kushoto)alipotembelea kituo cha Afya Mpendae wilaya ya mjini,alipokuwa katika ziara ya kutembelea Ofisi mbali mbali zilizo chini ya Ofisi ya Rais na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi,katika Mkoa wa Mjini Magharibi.


Viwanja vya Mnazi mmoja kama   picha hii inavyoonesha  katika hali ya kujaa kwa maji kutokana na Mvua kubwa zinazoendelea kunyesha,Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa baraza la Mapinduzi Dk Ali Mohamed  shein,(hayupo pichani) jana alitembelea viwanja hivyo alipokuwa katika ziara ya kutembelea sehemu mbali mbali za mkoa wa Mjini Magharibi zilizo chini ya Ofisi nya Rais na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.