Habari za Punde

MAALIM SEIF AKUTANA NA WATENDAJI WA BENKI YA KCB ZANZIBAR

MAKAMU wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar, Maalim Seif Shariff Hamad akizungumza na  Viongozi wa juu wa Benki ya Biashara ya Kenya (KCB) walipofika Ofisini kwake Migombani Zanzibar.Kulia Meneja wa Tawi la KCB Zanzibar, Mawese Mmbaga na kushoto Abdul Mshangama.(Picha na Salimin Said )

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.