WAZIRI wa Nchi Ofisi ya Rais na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Mwinyihaji Makame akimsalimia Mfalme wa Ashanti Otumfuo Osei Tutu II, alipowasili Uwanja wa Kimataifa wa Abeid Amani Karume kwa ziara ya siku moja Zinzibar.
Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi akiteta na mgeni wake alipowasili Uwanja wa Ndege wa Zanzibar.
MFALME wa Ashanti akisalimiana na Viongozi waliofika kumlaki alipowasili Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Abeid Amani Karume kwa ziara siku moja Zanzibar,
MAKAMU wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar Maali Seif Sharif Hamad akipokea zawadi kutoka kwa Msaidi wa Mfalme wa Ashanti, alipofika Ofisi kwa Makamu klwa mazungumzo.
MAKAMU wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar Maalim Seif Shariff Hamad na Mfalme wa Ashanti Otumfuo Osei Tutu II, wakiwa katika picha ya pamoja nje ya Ofisi ya Makamu Migombani.
MAKAMU wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar Maalim Seif Shariff Hamad, akizungumza na mgeni wake Mfalme wa Ashanti Otumfuo Osei Tutu II, alipofika Ofisini kwake kwa mazungumzo.
MAKAMU wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi akiwa mgeni wake Mfalme wa Ashanti Otumfuo Osei Tutu II, alipofika Ofisini kwake kwa mazungumzo Vuga.
MFALME wa Ashanti Otumfuo Osei Tutu II, akiwa na ujumbe wake alipofika Ofisi ya Makamu wa Pili wa Rais Vuga akiwa na katika ziara yake ya siku moja kutembelea Zanzibar.
MAKAMU wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Idd akiongoza Ujumbe wa Zanzibar katika Mkutano na Mfalme wa Ashanti Otumfuo Osei Tutu II, uliofanyika katika ukumbi wa Ofisi ya Makamu Vuga. akiwa katika ziara yake zanzibar MAKAMU wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Idd akimkabidhi zawadi ya kasha la Zanzibar mgeni wake Mfalme wa Ashanti Otumfuo Osei Tutu II.
MTEMBEZA Watalii katika Kanisa la Mkunazini akitowa maelezo ya Historia ya Kanisa hilo kwa Mfalme wa Ashanti Otumfuo Osei Tutu II alipotembelea kanisa hilo kuona sehemu za historia ya Zanzibar wakati wa Utumwa.
MFALME wa Ashanti Otumfuo Osei Tutu II, akitembelea Kanisa a Mkunazini ikiwa ni moja ya ziara yake Zanzibam.
MFALMA wa Ashanti Otumfuo Osei Tutu II akiangalia masanamu ya Watu wa enzi za utumwa walivyokuwa wakifungwa katika kusafirishwa katika soko la Utumwa.
MFALME wa Ashanti akiangalia Karafu katika shamba la viungo Kizimbani alipotembelea shamba hilo kujionea viungo mbalimbali viliokuweko katika shamba hilo.
MFALME wa Ashanti Otumfuo Osei Tutu II, akipata maelezo ya mkarafuu katika shamba la kizimbani akiwa katika ziara yake Zanzibar, akiwa na Mwenyeki wake Dk. Mwinyihaji Makame.
WAZIRI wa Nchi Ofisi ya Rais na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Mwinyihaji Makame akitowa maelezo ya miti ya Viungo katika shamba la Kizimbani.
No comments:
Post a Comment