Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk Ali Mohamed Shein,akizungumza na uongozi wa wizara ya Mifugo na Uvuvi, katika mkutano huo uliofanyika Ikulu Mjini Zanzibar,ulijadili masuala mbali mbali ya wizara hiyo katika kuweka mikakati ya kukuza uchumi na kuwaletea maendeleo wananchi wake kwa kipindi hichi cha bajeti ya mwaka 2011--2012
Baadhi ya watendaji wa Waizara ya Kilimo na Maliasili,wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk Ali Mohamed Shein,alipozungumza na uongozi wa wizara hiyo, katika mkutano huo uliofanyika Ikulu Mjini Zanzibar,uliojadili majukumu mbali mbali ya wizara, katika kuweka mikakati ya kukuza uchumi na kuwaletea maendeleo wananchi wake kwa kipindi hichi cha bajeti ya mwaka 2011--2012
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk Ali Mohamed Shein,akizungumza na uongozi wa wizara ya Kazi,Uwezeshaji Wananchi Kiuchumi na Ushirika, katika mkutano huo uliofanyika Ikulu Mjini Zanzibar jana, ulijadili masuala mbali mbali ya wizara hiyo katika kuweka mikakati ya kukuza uchumi na kuwaletea maendeleo wananchi wake kwa kipindi hichi cha bajeti ya mwaka 2011--2012
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk Ali Mohamed Shein,akizungumza na uongozi wa wizara ya Kilimo na Maliasili, katika mkutano huo uliofanyika Ikulu Mjini Zanzibar,ulijadili masuala mbali mbali ya wizara hiyo katika kuweka mikakati ya kukuza uchumi na kuwaletea maendeleo wananchi wake kwa kipindi hichi cha bajeti ya mwaka 2011--2012
Picha na Ramadhan Othman, Ikulu
No comments:
Post a Comment